0:00/???
  1. NASHUKURU

From the recording Redemption Love Songs

Lyrics

CHORUS
Lead : Nashukuru kwa Wema wako Messia
All : Nashukuru kwa Wema wako Messia
Lead : Nashukuru kwa Wema wako Messia
All : Nashukuru kwa Wema wako Messia
Lead: Ayaya yaya ayaya yaya ntakusifu Messia
All: Ayaya yaya ayaya yaya ntakusifu Messia

VERSE
Uliniumba nikuabudu, nishuhudie matendo yako
Roho wako kaniweka huru, Nitangaze makuu yako
Mimi ni nani Bwana, Unipende namna hii
Niko tayari Bwana kutumika Nitumie mimi ni chombo

VERSE
Lead: Nilipokuwa nimepotea , Your Spirit came and
All: Found me
Lead: Dunia, ilipo niita, You came down and said
All: Follow me
Lead: Mimi ni nani Bwana unipende namna hiyo
Sito kuacha maana Ulikufa msalabani ili niishi

BRIDGE
You picked me up, You turned me around, You Gave me the love I need
You picked me up, You turned me around, You Placed my feet on solid ground